Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Nimewaza cha kuandika ila nikakaumbuka shunie kaandika kila kitu

Mimi niseme tu uarafiki ni zawadi tunayo pewa na mungu

Undugu ni muunganiko wa urafiki

Kuaongeza miaka hakukupi unafuu wa furaha ila unakupa funzo namna ya kuishi na wengne

Na kufanya ibada zaidi ya uliko toka na kuongeza juhudi za toba zaidi

Kuongeza miaka sio sherehe ila darasa huru na kumbukumbu ya uliko toka

Chukua muda wakutafakari nini itende nini uaache maana duniani tu wapitaji kama tunavyo soma katika vitabu vya imani zetu

Mi niseme tu mungu akuongezee miaka ya kutosha ili uweze kujifunza zaidi na wengne wajifunze kwako na uwe sehemu ya historia ya wengne kwa mema watakayo jifunza kwako

Hongera ya kuongeza miaka
Ameen kaka ubarikiwe
 
Habari yako broo... Unajua umenifanya last saturday ninywe heinken ili tu kusikia iko vipi maana ulikua unazisifia sana.hahaaa
Mama mchuchu kapotea kabisa nowdays
Hahhahaha ww ebu sema kwanza ulivyokunywa ulijisikiaje
 
Back
Top Bottom