Hahhahahaah nimecheka sanaWacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usiku😀😀😀😀😀😀😎😎😎😎
Ebu ngoja kwanza to a zawadi kwanza
Kichwa kizito, muda wote nafurahi tuu.. ila ku-pee kila mudaHahhahaha ww ebu sema kwanza ulivyokunywa ulijisikiaje
Nawaza alikunja vipi ule uso wake alivyopiga funda la kwanza..Hahhahaha Mondray kanichekesha sana
Hahhahhaha eti mambo yakipunduka
Mtumie hebuMkuu inakuja pm
So nawewe ni among of them Geniuses? Give me your born dateSanteee
Mtumie hebu
Tuma zawadi jamaniiHaka katoto kanaonekana katam sana kupitia comments
Subiri tuone uko mbele
Nawasubiri wadau mwenzangu leo wajitokeze..Hahahhha babu bwana typing error