Asante sana my dear!Happy kuzaliwa day Mamyto
kwahiyo sisi wengine tusiozaliwa mwezi huu ni vilaza!!? [emoji53][emoji45][emoji30][emoji19][emoji19]Lol ongezea namie hapo
Asante kakangu mpenda churaHappy birthday dada mwenye makeke yake!
Asante sana kakangu kipenzi!Happy bday sakayo
Hahaha hahahanipo, tatizo mchepuko wako Asprin mikwara mingi...anasema anamiliki PM yako,
habari za siku nyingi lkn?
JamaniMajukumu my dear siunajua tena family
Hahaha hahaha hahahakwahiyo sisi wengine tusiozaliwa mwezi huu ni vilaza!!? [emoji53][emoji45][emoji30][emoji19][emoji19]
Hahahahah mie sitaki kucheka bwanakwahiyo sisi wengine tusiozaliwa mwezi huu ni vilaza!!? [emoji53][emoji45][emoji30][emoji19][emoji19]
Jirani hujambo nakuonaDaah! Jirani ndio tunazeeka hivyo. 😜
Heri ya kuzaliwa kwako jirani Mwenyezi Mungu azidi kukupa kila la kheri. Nimepost huku mkiani ila najua utaiona tu. 😀😀
Asante sana my dear!
Ingawa siku hizi umehamia siasani nakupenda ivo ivo
Hatuwezi pishana japo naingia mara chache chache ifurahie siku yako mpenzi[emoji257][emoji255][emoji259]⚘[emoji256][emoji264][emoji263][emoji261][emoji257][emoji257]Jamani
Tusitupane hivyo dear
Pacha umemisika ujue. Nipo nimejaa tela japo umenitenga.Jirani hujambo nakuona
Hahaha hahaha hahahaDaah! Jirani ndio tunazeeka hivyo. [emoji12]
Heri ya kuzaliwa kwako jirani Mwenyezi Mungu azidi kukupa kila la kheri. Nimepost huku mkiani ila najua utaiona tu. [emoji3][emoji3]
Tooooba. Sakayo mpaka Ukhuty yupo ujue hiyo keki tunaitaka maana sikawaida. 😂😂😂Hatuwezi pishana japo naingia mara chache chache ifurahie siku yako mpenzi[emoji257][emoji255][emoji259]⚘[emoji256][emoji264][emoji263][emoji261][emoji257][emoji257]
Tooooba. Sakayo mpaka Ukhuty yupo ujue hiyo keki tunaitaka maana sikawaida. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pacha miss u more kipenzi yaani mie nakimbizana dear acha tu nadhani hadi mwezi wa tisa kidogo ndio nitatulia ilaaa nahisi mwezi ujao nitakuja huko mara mojaPacha umemisika ujue. Nipo nimejaa tela japo umenitenga.