Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Daah! Jirani ndio tunazeeka hivyo. [emoji12]

Heri ya kuzaliwa kwako jirani Mwenyezi Mungu azidi kukupa kila la kheri. Nimepost huku mkiani ila najua utaiona tu. [emoji3][emoji3]
Hahaha hahaha hahaha
Jirani nashukuru sana jamanii, naachaje kuiona sasa jamanii ya jirani yangu kabisaaa jamanii!

Uzee ndo huo sasa jirani! Hakuna namna ingine tena!

Pole na ban
 
Back
Top Bottom