Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Hahaha hahaha hahaha
Jirani nashukuru sana jamanii, naachaje kuiona sasa jamanii ya jirani yangu kabisaaa jamanii!
Afadhali ka umeiona jamani.

Uzee ndo huo sasa jirani! Hakuna namna ingine tena!
Kabisaaa.

Pole na ban
Nshapoa jirani. Ile ban ilijua kunibumbuazisha jamaani maana nlibaki nimeduwaa tu. 😀😀😀

Hivi na wewe ilikupitia?
 
Pacha miss u more kipenzi yaani mie nakimbizana dear acha tu nadhani hadi mwezi wa tisa kidogo ndio nitatulia ilaaa nahisi mwezi ujao nitakuja huko mara moja
Usiniache jamani wifi
 
Pacha miss u more kipenzi yaani mie nakimbizana dear acha tu nadhani hadi mwezi wa tisa kidogo ndio nitatulia ilaaa nahisi mwezi ujao nitakuja huko mara moja
Pole sana Pacha hakuna jinsi mwaya zidi kupambana tu.

Karibu Pacha! tuwasiliane ukikaribia.
 
Afadhali ka umeiona jamani.

Kabisaaa.


Nshapoa jirani. Ile ban ilijua kunibumbuazisha jamaani maana nlibaki nimeduwaa tu. [emoji3][emoji3][emoji3]

Hivi na wewe ilikupitia?
Hahaha hahaha hahaha
Pole sana jamanii jirani!

Mimi hata sikujua kama imenikumba, shunie aliniletea taarifa kesho yake
 
Back
Top Bottom