Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahaha hahaha hahahaMie huwa niko siasani my dear toka niijue jf..huku huwa najivuta tu...na UMRI PIA Unachangia
Umri huo ni vipi eti dadake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hahaha hahahaMie huwa niko siasani my dear toka niijue jf..huku huwa najivuta tu...na UMRI PIA Unachangia
Afadhali ka umeiona jamani.Hahaha hahaha hahaha
Jirani nashukuru sana jamanii, naachaje kuiona sasa jamanii ya jirani yangu kabisaaa jamanii!
Kabisaaa.Uzee ndo huo sasa jirani! Hakuna namna ingine tena!
Nshapoa jirani. Ile ban ilijua kunibumbuazisha jamaani maana nlibaki nimeduwaa tu. 😀😀😀Pole na ban
Asante my dear!Hatuwezi pishana japo naingia mara chache chache ifurahie siku yako mpenzi[emoji257][emoji255][emoji259]⚘[emoji256][emoji264][emoji263][emoji261][emoji257][emoji257]
Hakika na ndio alichokifanya sio bure. 😀😀😀😀Na mie nilihisi hivyo jamani!
Aliupost akiwa chooni!
Hahaha kumbe uliionaAsante sana kakangu kipenzi!
Pole na ban
ShukranAsante my dear!
Karibu tufurahie wote
Hahaha hahaha hahahaTooooba. Sakayo mpaka Ukhuty yupo ujue hiyo keki tunaitaka maana sikawaida. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaa. Tuizukie tu hata kama ni Tanga. 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]itabidi tufunge safari wallah sio kwa kuwahi huku siti wanangu hawajambo
Anytime twinieThank you a lot my twin[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Usiniache jamani wifiPacha miss u more kipenzi yaani mie nakimbizana dear acha tu nadhani hadi mwezi wa tisa kidogo ndio nitatulia ilaaa nahisi mwezi ujao nitakuja huko mara moja
Hahaha hahaha hahahaKabisaaaa. Tuizukie tu hata kama ni Tanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wazima kabisa. Sijui wewe huko?
Sikuona nilisikia tuu jamaniHahaha kumbe uliiona
Asante sana
Pole sana Pacha hakuna jinsi mwaya zidi kupambana tu.Pacha miss u more kipenzi yaani mie nakimbizana dear acha tu nadhani hadi mwezi wa tisa kidogo ndio nitatulia ilaaa nahisi mwezi ujao nitakuja huko mara moja
Mimi sijambo japo nipo kifungoniKabisaaaa. Tuizukie tu hata kama ni Tanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Wazima kabisa. Sijui wewe huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika na ndio alichokifanya sio bure. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
si hapo nimeona wanasema waliozaliwa mwezi huu ndio majiniasiHahaha hahaha hahaha
Hapana
Utani bwana nisamehe basi, usitake tuwe serious kama wale pumbavu sometimes tunataniana, mie bwana sijambo kabisaa sijui weye
Hahaha hahaha hahahaAfadhali ka umeiona jamani.
Kabisaaa.
Nshapoa jirani. Ile ban ilijua kunibumbuazisha jamaani maana nlibaki nimeduwaa tu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi na wewe ilikupitia?
Ndio mana nkasema uzee huu nao kila nkikaa naitamani Tanga tu.Hahaha hahaha hahaha
Namtumbo huku bana