Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana dadangu!.Heri ya siku ya kuzaliwa Bibie
Mola azidi kuubariki urafiki wenu.
Asante kakangu wa jfHappy birthday dada wa jf.
Nangatukaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Thank you Shem ake Sakayo!Happy Birthday Shem.....!!!
Asante dadangu mzuri jamaniii, Yesu atutunze sote dearHappy birthday mdogo wangu, Bwana Yesu akutunze
Asante sana ndugu!Furahia siku yako
Asante dearHappy birthday kwake
Asante sana dear!Heri ya kuzaliwa
Amen kakangu, barikiwa mno!Heri ya kizaliwa dada sakayo uwe na maisha marefu yenye baraka heri na fanaka.
Asante mno mpendwa!Happy Birthday mpendwa ....[emoji512]
Asante sana dear!
Nani anakuficha eti
Njoo nikufiche basi jamaniU r welcome mtoto mzuri,wewe ndio wa kunificha sema ndio ushawaiwa
Njoo nikufiche basi jamani
Unaiwahi keki au unakuja nayo jamani!Nipe location please mtoto mzuri niiwahi na keki japo kuna mtu kanichunia hadi jf naiona chungu
MITHALI 14:1-2 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba, Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe, yeye aendaye kwa unyofu wake humcha Bwana bali aliye mkaidi ktk njia zake humdharau [emoji120][emoji120]
Unaiwahi keki au unakuja nayo jamani!
Nani huyo kakuchunia eti, nimuombe msamaha?!