Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen [emoji307][emoji307][emoji307]Thanks my dear!.
Atulinde sote jamaniii[emoji8][emoji7]
Anything for u till infinity babe.The sweet words from you is my biggest gift on my born day, dear dada I mean I say!
You truly made my born day with the sweet words of yours, just like how chocolate enhance the taste of dessert, same way your wishes enhanced my born day!
I feel really blessed, thank you for your lovely wishes for my birthday Shunie!
Will always love you!!
KhaaaaaMungu ni mwema, ni mwaminifu sana kwangu!
Namshukuru kwa umri mpya alonijaalia, wazazi, ndugu, kazi, pumzi na akili!
Lakini zaidi namshukuru Mungu kwa kunipa marafiki ambao wamekuwa kama ndugu, wana JF nyie ni kama ndugu zangu! Namshukuru Mungu sana kwa hilo!
Nitakuwa mnafiki kushukuru Mungu bila kuwaombeni msamaha nyinyi ndugu zangu, najua wapo niliowakwaza kwa kujua ama kutokujua! Sababu Biblia inatuasa tuitafute kwanza amani na watu woote, naomba niwaombe mnisamehe pale nilipowakwaza ama kuwaumiza kwa namna moja ama nyingine!
Mkinisamehe naamini na sala zangu za shukrani zitapokelewa!
Niwashukuru mnoo, wanafamilia wangu wa jf kwa kuwa na mimi, mnanifanya nacheka hata nikiwa chumbani peke yangu! .
Dada Shunie pokea shukrani zangu!
Kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu, NAWAPENDA sana, yaaani sana!!
N.B: Zawadi napokea mwenyewe jamani kwa namba zile zile za voda![emoji7][emoji7][emoji8]
U r welcome mtoto mzuri,wewe ndio wa kunificha sema ndio ushawaiwa
Unaiwahi keki au unakuja nayo jamani!
Nani huyo kakuchunia eti, nimuombe msamaha?!
Keki nitaikuta huko [emoji2],mimi mgeni,yupo mtu kanichunia
Hahahahah mm mbona sijamchuniaBeba keki jamaniii!
Maji ya kunywa utayakuta!
Mungu hapendi kuchuniana jamani!.
Wewe uliyemchunia Mgagaa na Upwa niko chini ya miguu yako! Naomba umsamehe, anateseka sana na hakuna kitu kibaya kama mtu kuishi bila amani! Please naomba umsamehe!
Like kosa lako la kuniambia tuwe tunasalimiana PM kumbe Pm umefunga, nimekusamehe.Mungu ni mwema, ni mwaminifu sana kwangu!
Namshukuru kwa umri mpya alonijaalia, wazazi, ndugu, kazi, pumzi na akili!
Lakini zaidi namshukuru Mungu kwa kunipa marafiki ambao wamekuwa kama ndugu, wana JF nyie ni kama ndugu zangu! Namshukuru Mungu sana kwa hilo!
Nitakuwa mnafiki kushukuru Mungu bila kuwaombeni msamaha nyinyi ndugu zangu, najua wapo niliowakwaza kwa kujua ama kutokujua! Sababu Biblia inatuasa tuitafute kwanza amani na watu woote, naomba niwaombe mnisamehe pale nilipowakwaza ama kuwaumiza kwa namna moja ama nyingine!
Mkinisamehe naamini na sala zangu za shukrani zitapokelewa!
Niwashukuru mnoo, wanafamilia wangu wa jf kwa kuwa na mimi, mnanifanya nacheka hata nikiwa chumbani peke yangu! .
Dada Shunie pokea shukrani zangu!
Kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu, NAWAPENDA sana, yaaani sana!!
N.B: Zawadi napokea mwenyewe jamani kwa namba zile zile za voda![emoji7][emoji7][emoji8]
Hahaha hahaha hahaha
Hapo naomba unisaidie kumwambia!
Hilo neno uloandika ni huku duniani ama ni sayari nyingine insta babe ake shunie?!
hahaha... bila shaka ntamwambia maana najua uwezo anao sema anataka kukubania tu.... [emoji23]
neno gani tena dada sakayo [emoji23][emoji23]
Nitashukuru sana mimi jamani!
Hebu mwambie na mie nikaoshe mecho!
Hili ulotaja sio Maurine hata sielewi kabisaaa insta babe ake shunie
Hahaaahahahaa.... sawaaaa ntamwambia
aaaaah hako si kale kakisiwa /nchi ni holiday destination nzuri sana me mwenyewe niliiona insta kwa Shunie [emoji23]

Hahhaha nimejipa ruhusa mwenyeweNani kakupa ruhusa ya kuuanzishia uzi mchepuko wangu wa milele?
Sakayo darling hebu mpitie dadaako Sky Eclat mkuje pande hii tufanye utatu mtakavitu kwenye hii siku muhimu sana kwa familia yetu.
Wakati mkiwa njiani ujue kabisa niko bize kukuombea maisha marefu yenye furaha, amani, mafanikio na upendo. Yaani ubarikiwe mpaka uombe poo
Happy birthday mchepuko. Grow wise.
Mbona sikukuona?Natamani hii bday ingekuwa kama mwaka jana jamani tulivyosherehekea pamoja
[emoji7][emoji7][emoji7]Insta babe wangu [emoji8][emoji8][emoji8]
hahahaha... insta babe bhana sisi wenyw tunataka utupeleke ww alafu unanigeuzia kibao [emoji23][emoji23]Hahaaa
Insta babe umeanza ujue ebu nipeleke uko nikaoshe macho
Kuna sehemu huko hata nikijpitisha pitisha naliwa kimya,dah!yan ikanibidi niwe mpole tuHhaahah unanifurahisha sana lini nilikuchunia mm we ba mkwe
Mkwe Mungu anakuona ujue mkweHahahahah mm mbona sijamchunia
Asante dadakeHappybday nasubiri keki hapaaaaa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
NakujaaNatamani hii bday ingekuwa kama mwaka jana jamani tulivyosherehekea pamoja