Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Dear hata wewe umefungaLike kosa lako la kuniambia tuwe tunasalimiana PM kumbe Pm umefunga, nimekusamehe.
Usirudie tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dear hata wewe umefungaLike kosa lako la kuniambia tuwe tunasalimiana PM kumbe Pm umefunga, nimekusamehe.
Usirudie tena.
Kumbe ni wewe dadaHahahahah mm mbona sijamchunia
Hahaha hahaha hahahaKhaaaaa
Kwahiyo mm sitakiwi kukupokelea zawadi
Love youAnything for u till infinity babe.
Asante babake mtoto mzuriHappy birthday mrembo
Keki ipo ! Champgaine ipo! Scottish bottle ipo...Mmmh
Baba Naah..
Keki jamaniii
Mama wenger!Happy birthday swthati,mdada nnayekupenda, kiburudisho cha chalii yetu, wifi yangu kipenzi,Mungu akupe miaka mingiiiiii yenye baraka tele, umenitangulia kidogo tuuuuu ila team June
Amen mdogo wangu mkubwa!Karibu mdogo wangu duniani. nitakua mwenyeji wako ukipenda! Hongera kwa kuitimiza miaka mingine. Siku zako zijae Baraka na neema tele kadri Mungu apendavyo
EwaaaaaKeki ipo ! Champgaine ipo! Scottish bottle ipo...
Na mjapani yupo..[emoji41]
Ahsante nawe baraka zikurudie...Amen mdogo wangu mkubwa!
Barikiwa sana jamanii
Asante sana dear!To sakayo..
Take your time and listen this song please! huu wimbo unakukumbusha kusudi lako la wewe kuletwa hapa duniani,na ufanyeje ili kutekeleza hilo kusudi la aliyekuumba.
Jitahidi usiishi mbali na mpango/kusudi lililofanya wewe uje hapa duniani siku na tarehe kama ya leo
HAPPY BIRTHDAY MWANANGU SAKAYO MUNGU AKUTUNZE LOVE YOU[emoji7][emoji7]Ninapozungumzia marafiki zangu wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa faida kabisa hata nikiwa na shida nikuamshe usiku wa manane lazima unisikilize pamoja na mm na kausumbufu jamani lakini unanivumilia kwa vyote.
Tuna uchizi mwingi unaofanana [emoji1787][emoji1787]
Asante sana jf kwa kunikutanisha na sakayo wangu amekuwa zaidi ya rafiki kwangu tumekuwa zaidi ya ndugu [emoji847][emoji847]
Happy birthday sakayo wangu kaziwanda ka mama....Mungu wangu azidi kukuweka tu na kukulinda na akufunike kwa Damu ya Yesu, akubariki katika biashara zako na kazi yako na familia yako [emoji120][emoji120]
Nakupenda tu mimi leo, kesho na milele [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
MITHALI 14:1-2 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba, Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe, yeye aendaye kwa unyofu wake humcha Bwana bali aliye mkaidi ktk njia zake humdharau [emoji120][emoji120]
View attachment 1124133
HallelujahAhsante nawe baraka zikurudie...
Asante Mama, love you more MamaHAPPY BIRTHDAY MWANANGU SAKAYO MUNGU AKUTUNZE LOVE YOU[emoji7][emoji7]
Nasikia kulia kaka! ..Nimewaza cha kuandika ila nikakaumbuka shunie kaandika kila kitu
Mimi niseme tu uarafiki ni zawadi tunayo pewa na mungu
Undugu ni muunganiko wa urafiki
Kuaongeza miaka hakukupi unafuu wa furaha ila unakupa funzo namna ya kuishi na wengne
Na kufanya ibada zaidi ya uliko toka na kuongeza juhudi za toba zaidi
Kuongeza miaka sio sherehe ila darasa huru na kumbukumbu ya uliko toka
Chukua muda wakutafakari nini itende nini uaache maana duniani tu wapitaji kama tunavyo soma katika vitabu vya imani zetu
Mi niseme tu mungu akuongezee miaka ya kutosha ili uweze kujifunza zaidi na wengne wajifunze kwako na uwe sehemu ya historia ya wengne kwa mema watakayo jifunza kwako
Hongera ya kuongeza miaka
Amen barikiwa nawe pia DadaNasikia kulia kaka! ..
Asante sana dear kaka, barikiwa mno jamanii