Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
asantee, nitakupitishia hapo jioni dada angu [emoji3]Karibu jamani!
Keki yako sijaiona!
Mungu ni mwema jamanii, hata mie siku zasonga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asantee, nitakupitishia hapo jioni dada angu [emoji3]Karibu jamani!
Keki yako sijaiona!
Mungu ni mwema jamanii, hata mie siku zasonga!
mtani huu Uzi ni wa bazdey hahahaHahaaa. Tuliipata wengi tunafika hata nane jirani yaani wale wote tuliokuwa tunapiga soga ilitupitia. 😂😂
cc. Sanchez magoli , Don Clericuzio , troublemaker na wengine iliowapitia.
Mie nshakukaribisha subiri birthday girl na yy akupe jibu lake na majiniazi wooooteafadhali nimepata mualiko, naomba kibali nihamie June na mimi niwe jiniazi
Karibu sana jirani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona sasa jamanii!!
Tanga nakufuata huko siku kuu bana!
Karibu sana
😀😀😀😀😀 hatari sana jirani.Hahaha hahaha hahaha
Hivi aliificha wapi! Kwapani itaonekana tuu! Ukute kavaa khanga moja
Kapokee zawadi zangu jamaniNiko apa
😀😀😀 Pacha hivi sisi ni majiniazi eee?🥰😘 sijui mara ya mwisho kusifiwa ilikuwa lini, nitaota leo mie, kama vp hamia kwetu nawe uwe jiniazi
Magimbi yatapendeza zaidikeki huku naitolea wapi...unakulaga magimbi au maboga?
Umeona eehUmeanza
Jirani hii tabia naona imeota miziziAcha tu ndugu
Waooooooooo miss u mingi mingi [emoji7][emoji7][emoji7]Jirani hii tabia naona imeota mizizi
Hahaaa. Nimeona Mtani.mtani huu Uzi ni wa bazdey hahaha
angalia
Upo pouwa lakini
Hahaha hahahaHahaaa. Tuliipata wengi tunafika hata nane jirani yaani wale wote tuliokuwa tunapiga soga ilitupitia. [emoji23][emoji23]
cc. Sanchez magoli , Don Clericuzio , troublemaker na wengine iliowapitia.
nasubiria hapa...vibali vikifika 5 tu nahamia leo leo hata iwe usiku wa manane, niwe jiniazi na mimi [emoji3]Mie nshakukaribisha subiri birthday girl na yy akupe jibu lake na majiniazi woooote
Babake sitaki kuamini mimi mpaka saivi kimyastend ya mabasi mama ake
saafiMagimbi yatapendeza zaidi