Niombee kheri huku niendako, tukijaaliwa nikirudi salama, nitakupatia[emoji120][emoji120][emoji120]Jamani jamanii
Roho inauma jamaniiiii
EwaaaaaNtamnunulia kila mtu zawad hapa
Nikikasirika
Sawa ndugu nashukuru kusikia hivyo karibu hapa kibamba tunaangalia wala pwezaHuku Alhamdulillah ndugu yangu. Tupo tunaimalizia siku hapa.
Nimecheka. Lol.Hahaha hahaha hahaha
Mama kibiriti hajambo jamanii
@Shunie naomba ufafanuziMuulize Mzigua,anajua nilipo .Miss you too shem..
Hahaha hahaha hahahaWoyoooo sakayo umemuibua mdakachozi wa auntie
Kiukweli nimekumiss halafu zawadi napokea mm
SijaonaaaNmegawa vocha
Hujaziona hapo juu
Teh ...
Ahaha sio mashariti bibieWe baba ombi lingine lipiiii tuma zawadi hizo acha masharti
Ni wivu tuu( in ngwajima's voice)
ntakutafuta privateKufanya nini eti baba swalehe
πππ uonjage na wewe ndugu usiishie kuwaangalia tu.Sawa ndugu nashukuru kusikia hivyo karibu hapa kibamba tunaangalia wala pweza
Tuma boda boda aje kunichukuaSawa utanikuta pale panapo itwa hotel ya nyota tatu jirani na baba swalehe pale
hahaha nimesoma mara mbili mbili nikahisi kakosea...imebidi niulize tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umetia huruma Kaka kwa jinsi ulivyomuuliza. Lol.
Akikujib nitag na mie nione hicho anachotaka kukichefua
cc. baba swalehe
Ngoja waje sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Ni wivu tuu( in ngwajima's voice)
Hahaha hahahaNiko natumika mama si unajua leo mkesha pia
Are you ndali by tribe, mr ?!Sawa ndugu nashukuru kusikia hivyo karibu hapa kibamba tunaangalia wala pweza
Hongera sana pasua kichwaHahaha hahaha hahaha
Hata sijui penye umetoka aki...
Niko na 18 saivi mdaka chozi
Hahaha hahaha hahaha hahahaSaafi. Wanasema akili ni nywele Dada na zako naziona hapo kwenye Avatar. [emoji85][emoji85][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]