Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
NdiwoooNiambie utapokea pempazz yako..
Nitapokea dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiwoooNiambie utapokea pempazz yako..
Hahaha hahaha hahahaHahahah nimemkumbuka mjeda wako
Acha loho mbaaayaaaaaNdiwooooo kwani nilisema wa kwetu wote hiyo ni wa kwangu tu
Ntaleta mwenyewe... Shunie hili naomba niliwakilishe mwenyewe...maana sina hakika kama umepunguza idadi ya HeinekenNdiwooo
Nitapokea dada
Ndio nashangaa miee...lazima keki iwe nimebakiziwa tuu😄Hahaha huyo wa roho ya mafuta atakuwa shunie rapa sio mm kabisa
Naomba nije mzima mzima tuu babe...sitaki nikuchoshe unajuaa🤓Ndio babe ebu fanya kunitumia tu
Hahaha simpi shunie akuletee...ntaleta mwenyewee yeye hakawii kwenda kupiga mambo yetuSijaelewa eti
Looh😂😂😂😂mate ya bia eee,.chaaaHahahaha napunguzaje idadi ya Heineken kwa mfano hapo umeitaja mate yamejaa
Umeanza lini uchoyo eti dadaHahaha sio kwa mjeda huyo ww huyo humuwezi kabisa mm ndio namuweza mambo zake
Hivi burundi nako ni abroad babe😂😂Mm nilijua upo abroad ndio mana sijaibakisha