Happy Birthday Sakayo

Namuona hatua anazosotea, naona mnanyota na wajee , sisemi sana mimia kaka yenu hachelewi kukatiza hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] akanuna jumlaa
Hahahah ebu sema wii akikununia tutakutetea bwana

Wajeda mm nawaheshimu sana na kuwapenda nawasalimia popote mlipo [emoji847]
 
Hahahah ujue ile siku umeniambia nimewaza sana nikasema huyu kweli aache pombe au mtu kamuhuck anatumia I'd yake ulinipa mawazo sana
Ulikuwa utani tuu wee....hivi ukiachia dudu kuna kitu tamm kama biaa🤣🤣🤣🤣halafu nimekumbuka Mimi na Sakayo tumezaliwa mwezi mmoja...kwahiyo zawadi nitampa siku ya besidei yangu...oh yeah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…