Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Hahahah ujue ile siku umeniambia nimewaza sana nikasema huyu kweli aache pombe au mtu kamuhuck anatumia I'd yake ulinipa mawazo sana
Ulikuwa utani tuu wee....hivi ukiachia dudu kuna kitu tamm kama biaa🤣🤣🤣🤣halafu nimekumbuka Mimi na Sakayo tumezaliwa mwezi mmoja...kwahiyo zawadi nitampa siku ya besidei yangu...oh yeah
 
Back
Top Bottom