Happy Birthday Sakayo

Hahaha hahaha hahaha
Aiseee...
Hahahahah ila jana shem bebe wangu kapita job ananiambia niliogopa kuja kukusalimia nilikua nae najua hutaki kumuona nikamwambia tena ningekununia bora ulivyoniona haujapita
 
Hahahahah ila jana shem bebe wangu kapita job ananiambia niliogopa kuja kukusalimia nilikua nae najua hutaki kumuona nikamwambia tena ningekununia bora ulivyoniona haujapita
Hahahaha
Sema ukweli
 
Hahaha ebu tuambie wii mm hawa watu nawapenda lakini nawaogopa sana kutokana na mambo zao tatizo wahuni sana
mwanzo lazima umbwele mbwele, afterward umemzoea, mama mama mamaaa dunia utahisi yako wii, ila hapo kwenye uhuni itategemea na wewe ulimtakaje if its about his pocket πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ then uwe tayari, kama ku settle sasa ndo unaanza zile dont dwell in that comfort zone. wapende tu .wifi ako mimi jaman nilijambia mbele mimi mweeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…