Happy Birthday Sakayo

Wakiingia mi ndo ntakuwa natoka

Halafu utamu wa hiki kijiwe ni story ziwe hot ukiingia ukakuta story ilishapoa inakata stimu kweli
Hapo umeongea la sekondari...

Hebu jaribu kuzurura kidogo unaweza kutana na kijiwe huko cha moto
 
Umenikumbusha wiki ilopita nilikuwa hospital ile nimekaa nusu saa ukapita mwili ambao wagonjwa baadhi walisema huyu kaingia humu theatre akiwa anatembea mwenyewe lakini ona kashavuta

Niliwaza vingi sana muda ule

yaani kadri kunavyokucha ndivyo siku za kuwa hapa zinapungua!!!
Na kifo kinakaribia

Tabu kwel kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…