Happy Birthday Sakayo

Hahahaa..

Kijana umeanza kubwia beer [emoji23][emoji23].

So ulijisikiaje baada ya hapo?
Wacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usikuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Hapo mwisho ndio muhimu hizo namba ziko wapi?
 
Hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu leo jioni tafuta K-Vant unywe..

Shunie kuna mpenda Heineken mwenzako huku aisee...!

Tukitoka kwenye b'day tutakupitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…