Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Hahahaa..

Kijana umeanza kubwia beer [emoji23][emoji23].

So ulijisikiaje baada ya hapo?
Wacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usiku😀😀😀😀😀😀😎😎😎😎
 
Hapo mwisho ndio muhimu hizo namba ziko wapi?
Mungu ni mwema, ni mwaminifu sana kwangu!
Namshukuru kwa umri mpya alonijaalia, wazazi, ndugu, kazi, pumzi na akili!

Lakini zaidi namshukuru Mungu kwa kunipa marafiki ambao wamekuwa kama ndugu, wana JF nyie ni kama ndugu zangu! Namshukuru Mungu sana kwa hilo!

Nitakuwa mnafiki kushukuru Mungu bila kuwaombeni msamaha nyinyi ndugu zangu, najua wapo niliowakwaza kwa kujua ama kutokujua! Sababu Biblia inatuasa tuitafute kwanza amani na watu woote, naomba niwaombe mnisamehe pale nilipowakwaza ama kuwaumiza kwa namna moja ama nyingine!

Mkinisamehe naamini na sala zangu za shukrani zitapokelewa!

Niwashukuru mnoo, wanafamilia wangu wa jf kwa kuwa na mimi, mnanifanya nacheka hata nikiwa chumbani peke yangu! .
Dada Shunie pokea shukrani zangu!


Kutoka ndani ya sakafu ya moyo wangu, NAWAPENDA sana, yaaani sana!!

N.B: Zawadi napokea mwenyewe jamani kwa namba zile zile za voda![emoji7][emoji7][emoji8]
 
Wacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usiku
Hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu leo jioni tafuta K-Vant unywe..

Shunie kuna mpenda Heineken mwenzako huku aisee...!

Tukitoka kwenye b'day tutakupitia
 
Back
Top Bottom