Wacha tu nilienda kwenye harusi ya wachaga nikakaa sehemu ambapo wanakunywa vilevi vikali, kwa kunihurumia waliniambia ninywe bia sio soda..nikasema haikati dingii kwasababu heinken zilikuwepo ndo nikagonga hizo tatu ili nione unavyoisifia. Nashukuru tu sikupata ajali njiani ila zilinitoka jumapili saa 2 usikuππππππππππ
BlessedEnjoy your day wisely
Nice to hear thatNzuri,za sikunying nzuri pia
Zipo hapo hapoHapo mwisho ndio muhimu hizo namba ziko wapi?
AnytimeThank you.
Nope: sijawahi kutegemea mm kua mnywaji, sitarudia tena.Hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu leo jioni tafuta K-Vant unywe..
Shunie kuna mpenda Heineken mwenzako huku aisee...!
Tukitoka kwenye b'day tutakupitia
Vilaza wanazaliwa mwezi gani?Genius are born on this month.....Happy birthday to you my lovely sister....[emoji322][emoji322][emoji323][emoji323]I wish for you all the best [emoji322][emoji322][emoji323][emoji323]
Cc: Sakayo Da'Vinci Mshana Jr Ambiele Kiviele Beberu Mwitu teledam Clkey
Wadau wanaziwia Absolut,Konyagi,Captain morgan na J&B mimi hapo ningesogeza poa ningekufaaNimecheka..
Eti wakakuhurumia unywe heineken..[emoji23]
Anytime
Zipo hapo hapo
Basi tutakuletea heineken tena leo..Nope: sijawahi kutegemea mm kua mnywaji, sitarudia tena.
K-Vant mpelekee mshana ndio mdau wa hizo.. mkinipitia juisi ya box inanitisha
Hahaha hahahaAcha kinifanyia hizo za anytime
DaaahShida yako ndio hii unapenda utani sana.
Embu kuwa siriasi baasi. Namba ya zawadi sijaiona.
ππππππ NoooopeeeBasi tutakuletea heineken tena leo..
Na sisi tunakuonea huruma
#Happyborndaysakayo
Bora hukugusaWadau wanaziwia Absolut,Konyagi,Captain morgan na J&B mimi hapo ningesogeza poa ningekufaa
Hahaha hahaha
Kwa nini eti
Hahaha hahaha hahahaMimi hizo huwa zinanipa wakati mgumu kuzitafsiri.
Najikuta naona kama ni invitation to friendship treat.