Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hamna cake this yearJamani jamanii
Roho inauma jamaniiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna cake this yearJamani jamanii
Roho inauma jamaniiiii
Ndiwoooaki si kwa kucheka uko mpaka gego la mwisho
asante chief, habari za siku nyingi?Shikamoo rafiki yangu tulie poteana
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Ninapozungumzia marafiki zangu wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa faida kabisa hata nikiwa na shida nikuamshe usiku wa manane lazima unisikilize pamoja na mm na kausumbufu jamani lakini unanivumilia kwa vyote.
Tuna uchizi mwingi unaofanana [emoji1787][emoji1787]
Asante sana jf kwa kunikutanisha na sakayo wangu amekuwa zaidi ya rafiki kwangu tumekuwa zaidi ya ndugu [emoji847][emoji847]
Happy birthday sakayo wangu kaziwanda ka mama....Mungu wangu azidi kukuweka tu na kukulinda na akufunike kwa Damu ya Yesu, akubariki katika biashara zako na kazi yako na familia yako [emoji120][emoji120]
Nakupenda tu mimi leo, kesho na milele [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
MITHALI 14:1-2 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba, Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe, yeye aendaye kwa unyofu wake humcha Bwana bali aliye mkaidi ktk njia zake humdharau [emoji120][emoji120]
View attachment 1124133
Mungu sio Juma, utarudi salama kabisaaa jamanii kakaNiombee kheri huku niendako, tukijaaliwa nikirudi salama, nitakupatia[emoji120][emoji120][emoji120]
ndioHahaha hahaha
Na wewe unamtishaa
Hahahaaa. Zimefika Dada.Hahahhaha ebu mfikishie salaam zangu nimependa jina la mwanae
Teh
Hahaha hahaha hahahaNimecheka. Lol.
Hajambo kabisaaa. Nimekaa hapa huku napiga jicho hapo kwako kama Sanchezi anafika na hiyo Keki ili nipate kuja kuonja na mie. Teh teh.
😀😀😀 Kwa kweeli.
[emoji30][emoji30][emoji30]Asante kakangu mpenda chura
Senkyu dia... Yu a welikamu ini piemuntakutafuta private
Hata mm nnayo 28
Kuna project inahtaj watu wawl wenye miaka sawa
Jinsia tofaut
teh
Hepi basidei , tu yu
Amu goni
Hahaha hahaha hahahaNgoja waje sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
EeeehhhHongera sana pasua kichwa
Nafikiri huo ni umri mzuri kabisa kwa shughuli mbalimbalii