Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka lol.

Ila nimeona kuna Post nyingine akarudi kwa kiswahili nadhani ile ndio ilikuwa Post inayotuhusu sisi japo nimecheka mwishoni kaandika "zawadi napokea kwa ile namba ya voda"

Nikasema lol. hahahaaaaa.
Hahaha hahaha hahaha hahaha

Sasa hapo ujue akili ilikuwa timamu jirani! Kila nikibuni nilikuwa naona nakosea tuu!

Ila nikiongea kimoyomoyo najaza gazeti! Nikasema ngoja niandike kibantu tuu!
 
Back
Top Bottom