Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kwa nani etiNi shemeji yangu jamani we bday gelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nani etiNi shemeji yangu jamani we bday gelo
Tangu lini etiIpo wazi bwana
Sijajua badooKipo hapa kibamba upande wa pwani si unajua pwani ni mkoa wenye viwanda vingi vipya
Kabisaaaa. 😀😀😀 Mana alishatuwacha.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]bora kafanya hvyooo... Bando shida ,mambo magumuu!!!
Ngoja tusome ya tupate sote
Nipo kwaajili ya kuona unapata furaha itakayo kuongezea miaka ya kuishi ndani ya hii duniaSema ukweli jamanii
[emoji38][emoji38]Sitakiii we mbaba
Dada unanitesa ujue!..Bando lenyewe mpk tufike gugo jamani,hatutendei hakiii huyu Dada!
Amekuwaje jamani wifi kaka etu tena
HANIPI HELA MIMI JAMAN HANIPII KABISA MIMI JAMANI, HIVI MNANIELEWA NNAVYOSEMA HANIPI HELA?😡😡😡 😂 😂Wifi
Kaka kafanya nini tena jamani
Hahaaaahaaa!!!alituacha njia panda ya SegeraaKabisaaaa. [emoji3][emoji3][emoji3] Mana alishatuwacha.
Thank you dear kaka!Happy birthday Sakayo. God bless you always.
Nitakuleta usijali sakayoSijajua badoo
hahaha embu anza na wengineNaanza na wewe
Kweli tena si uongooo!!fenti fodiii hatujui siyeeeDada unanitesa ujue!..
Wewe sio wa kunifanyia hivyooo jamaniii
Unazungumzia hela ya Tanzania au kwacha ya ZambiaHANIPI HELA MIMI JAMAN HANIPII KABISA MIMI JAMANI, HIVI MNANIELEWA NNAVYOSEMA HANIPI HELA?😡😡😡 [emoji23] [emoji23]
Hahaha hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka lol.
Ila nimeona kuna Post nyingine akarudi kwa kiswahili nadhani ile ndio ilikuwa Post inayotuhusu sisi japo nimecheka mwishoni kaandika "zawadi napokea kwa ile namba ya voda"
Nikasema lol. hahahaaaaa.
Hahaha hahaha hahaha hahahaNilisoma ww na kwenda gugo
Sababu nimezaliwa leo au kuna sababu ingine jirani
EwaaaaaBaada ya hii mikataba nitakupeleka mpaka kiwandani iwe rahis kuleta bidhaa