Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] ahsante swahibaDuuh! Pole.
Hapo sasaHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Intapreenuuu
Nilifika aisee...ila majanga yalitokea sana, nitakuelezea upande wa piliChapombe weeeh hivi ulifika salama juzi
Mungu wanguHahaha mm namjua akili kama za kaka
Kuko waziiUshindwee.. nyie mnafunga PM zenu huko halafu mje mlalamike kaka bahili kaah? hata wananchi wa JF watawashanga sana🙂 hakuna linaloshindikana kwa kaka😀😀 ni nyie tu eh eh ehh .NIMERUDI
Mimi apaaWoyooooo
Nani anateseka naulizaaaa
MaweeeeShida zako kwangu huwa zinatatuliwa ukiwa dom tu, njoo idodomiya😕
Thank you my love
Thank you dear...Happy birthday
Mniunge video koluNilifika aisee...ila majanga yalitokea sana, nitakuelezea upande wa pili
Ulipotea[emoji23] ahsante swahiba
Ulipotea
Njoo basi huku Bunju jamaniNimesubiria location ya cake kimya!
Umeona eeh my dada swahiba,msamaha unahusu hapa
Dah!nipo madongo poromoka huku saa hz,kuitafuta bunju mbali,keki ishanikosa hiyoNjoo basi huku Bunju jamani
Hahaha netiweki itazinguaMniunge video kolu