Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
😂 😂 sema wii mmemfanyia promotion sana mwee 😂😂😂Umeshamkimbiza mwenyewe nampendaga tu mm ana uchizi mwingi sana cc Certified Hater [emoji847][emoji847][emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 sema wii mmemfanyia promotion sana mwee 😂😂😂Umeshamkimbiza mwenyewe nampendaga tu mm ana uchizi mwingi sana cc Certified Hater [emoji847][emoji847][emoji847]
na huyo bebe wako hater hadi sie wa mbali tumemjua ni Asset ya serikali 😂 😂 😂Hahahah wii huyo pasha kama kaka angu hata nikimfanyia promotion vipi akili zake anazijua mwenyewe hashindwi kufukuza watu pm huko
😂 😂 woooiHahahah ni asset lakini haingiliki hovyo achana na hiko kichwa kabisa
Wifi uko na misamiati kama yootemwanzo lazima umbwele mbwele, afterward umemzoea, mama mama mamaaa dunia utahisi yako wii, ila hapo kwenye uhuni itategemea na wewe ulimtakaje if its about his pocket [emoji23] [emoji23] [emoji23] then uwe tayari, kama ku settle sasa ndo unaanza zile dont dwell in that comfort zone. wapende tu .wifi ako mimi jaman nilijambia mbele mimi mwee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasema hiviiii hata kama ni saaa kumi usikuuMweeeh naombea tu nipate nafasi jamani
Nikuwe namsalimia jukwaani akiHahaha umkariri ili
Nakufuata huko hukooooHahhaha wewe ni kichaa kama nimeingia usiku je
Wewe ndo umenifanya chiziiHahahhahaha mwehu ww
Yaani acha kabisaaa akiHuyo ndio wifi yetu Dada kaka kapatikana
Hahaha hahaha hahaha hahahaWoyooooooooo
Ni weweeeeeHahahah ebu uko acha kunisingizia