Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Wewe sio wa kunifanyia mimi hivyo jamaniUchinune bachiii, me nawewe si unaelewa lakini. Sema nini unataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio wa kunifanyia mimi hivyo jamaniUchinune bachiii, me nawewe si unaelewa lakini. Sema nini unataka
Nilikuwa naumwa kipenzi, ndio nmerudi jf kiuhakikaWewe sio wa kunifanyia mimi hivyo jamani
Pole sana jamani..Nilikuwa naumwa kipenzi, ndio nmerudi jf kiuhakika
Homa kali tu ilintight ikabidi nikafyonze dripPole sana jamani..
Nini mbaya tena mate?!
Na leo pamepoa haswaa!
Ila watarudi, wapo vibaruani watu!
Pole mno mate!.Homa kali tu ilintight ikabidi nikafyonze drip
Habari za siku nyingi kaamani?Wakiingia mi ndo ntakuwa natoka
Halafu utamu wa hiki kijiwe ni story ziwe hot ukiingia ukakuta story ilishapoa inakata stimu kweli
Hapo umeongea la sekondari...Wakiingia mi ndo ntakuwa natoka
Halafu utamu wa hiki kijiwe ni story ziwe hot ukiingia ukakuta story ilishapoa inakata stimu kweli
Naendelea poa mate, namshukuru munguPole mno mate!.
Maendeleo yako kwa sasa ni vipi eti
Hapo umeongea la sekondari...
Hebu jaribu kuzurura kidogo unaweza kutana na kijiwe huko cha moto
Ni nzuri hazard siku zinasogeaHabari za siku nyingi kaamani?
Na kifo kinakaribia
Tabu kwel kweli
Pole sana mate!Naendelea poa mate, namshukuru mungu
Sawa my dearWacha nikazurule
Big toys ndio nini eti [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha hahaha
Ndo nasubiria jibu
Yapo ngerengere kule morogoro mausafir yao ni dk 5 tuWakikujibu uniite