Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Sakayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
56,368
Reaction score
161,448
Mungu ni mwaminifu mnoo!!!!

Tarehe na miezi ka ya leo miaka kadhaa ulopita alizaliwa binti mrembo, mpole kiasi, mwenye roho yake tulivu Shunie!!!!

Mungu azidi kukulinda mdogo wake mie, nakupenda na wewe unajua hilo.... Sina la kukulipa kwa wema wako tangu nkufahamu we mtoto!!!! Zaidi namuomba Mungu azidi kunitunzia mdogo wangu Mimi.... Mungu akupe kila lenye kheri akuondolee maradhi uwe na amani na furaha daima!!!!!

Furahia siku yako ya kuzaliwa my dear Shunie

Hongera mnoo kwa kuzidi kuusogelea uzee mdogo ake Sakayo!!!!!

Happy Birthday mamy....!!!!!!!!
 
Hizo cake ndo wewe...!!!?anyway Heri ya Kuzaliwa
 
Sakayo wangu [emoji8][emoji8][emoji8] niseme ninii mimi asante jf kwa kunipa rafiki mwema kwangu nakupenda zaidi ya jana na hata milele Yesu wetu azidi kukulinda na kukuweka [emoji120] mbona uzee umeshafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…