Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa bata kwa kupenda bata weweBirthday girl bata wapi ?
Bado mbichi kumbe 45Mbona maswali ya miaka nina miaka 45 jaman
Mbichiiii na wakati kibibi gagulaBado mbichi kumbe 45
Thank u my kayeke [emoji8]HAPPY BIRTHDAY MY SHUNIE!!!
December hii mwezi wa bata huuMzee wa bata kwa kupenda bata wewe
Inafanyika kwa watu wasiojulikana ukujeDecember hii mwezi wa bata huu
Safi sana hongera hongera zako sn.Hapo pata kamoja ka mwisho kama inawezekana. Mungu akulinde.Wawili asante
Kwa mm mwenye 45+ uko vzrMbichiiii na wakati kibibi gagula
Ameen tamuuuu [emoji120]Safi sana hongera hongera zako sn.Hapo pata kamoja ka mwisho kama inawezekana. Mungu akulinde.
Kivipiiii yaan me niko na mume na watoto juuKwa mm mwenye 45+ uko vzr
Ndio maana nikasema uko vzr,umri huo lzm uwe na watoto na mime,ningeshangaa km we ni singo maza au kibintiKivipiiii yaan me niko na mume na watoto juu
Mwambie amsalimie babu asprine..!Mungu ni mwaminifu mnoo!!!!
Tarehe na miezi ka ya leo miaka kadhaa ulopita alizaliwa binti mrembo, mpole kiasi, mwenye roho yake tulivu Shunie!!!!
Mungu azidi kukulinda mdogo wake mie, nakupenda na wewe unajua hilo.... Sina la kukulipa kwa wema wako tangu nkufahamu we mtoto!!!! Zaidi namuomba Mungu azidi kunitunzia mdogo wangu Mimi.... Mungu akupe kila lenye kheri akuondolee maradhi uwe na amani na furaha daima!!!!!![]()
Furahia siku yako ya kuzaliwa my dear Shunie![]()
Hongera mnoo kwa kuzidi kuusogelea uzee mdogo ake Sakayo!!!!!
Happy Birthday mamy....!!!!!!!!
Mmh wengine ndoa sip muhimu kwako kwahiyo ni kawaida tuNdio maana nikasema uko vzr,umri huo lzm uwe na watoto na mime,ningeshangaa km we ni singo maza au kibinti
Huyo unayemwambia ndio mumewe babu asprinMwambie amsalimie babu asprine..!