Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hahaha
Mie nasikia tu kuanikwaaaa.... Ngashtukaa mie!!!!
Hakuna cha kuanikwa wala kubanikwa, kelele za chura tu zile na story za uzushi hata usiogope aunty yangu. Hakuna jipya atakwambia tu wahuni wamekukula sana basi hana jipya. Utoto tu akikua ataacha.
 
Kumbeee
Basi mie nkasema kuanikwa huko veepe!!!

Lakini naona timu yako imekomaa mbaya kabisaa!!!!
 
Hana lolote la kuanika anajitutumua tu.
Basi ukaogopa mwenyewe ukajua ukitia maguu tu anakuanika!! Hahaaa kama nakuona ulivyotetemeka!!
 
Yaani nyuzi za yule jamaa napitaga kushotooo.... Kutoleana mapovu akuu ndo siwezagi aunt!!!
 
Hahahaaaaa!! Ukitaka akupende wewe kila akiandika upuuzi wake wewe msifie tu. Ukimwambia ukweli ni kosa la jinai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…