Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kama Vp Ije Hata Pm Bass Mama AnguPicha itakuja baadae Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Vp Ije Hata Pm Bass Mama AnguPicha itakuja baadae Mkuu
Kweli tena aunty, ni mmoja tu. Tena nimekumbuka niko single sasa hivi[emoji12]Mungu anakuona ujue aunt...
Hahahaaaa!! Kumbe unasoma kimya kimya eeeeh!!Hahaha
Yaani wewe.... Nilikuwa nakusoma kule aki wewe na timu yako mmenishindaaaaaaa
Hahaaaaaaa!! Umenifanya nicheke, vitisho vya nyau tu vile. Akuanike anakujua!!!Yaani
Naogopa kuanikwa mieee
Hakuna cha kuanikwa wala kubanikwa, kelele za chura tu zile na story za uzushi hata usiogope aunty yangu. Hakuna jipya atakwambia tu wahuni wamekukula sana basi hana jipya. Utoto tu akikua ataacha.Hahaha
Mie nasikia tu kuanikwaaaa.... Ngashtukaa mie!!!!
KumbeeeHakuna cha kuanikwa wala kubanikwa, kelele za chura tu zile na story za uzushi hata usiogope aunty yangu. Hakuna jipya atakwambia tu wahuni wamekukula sana basi hana jipya. Utoto tu akikua ataacha.
Hana lolote la kuanika anajitutumua tu.Kumbeee
Basi mie nkasema kuanikwa huko veepe!!!
Lakini naona timu yako imekomaa mbaya kabisaa!!!!
HahahaHana lolote la kuanika anajitutumua tu.
Basi ukaogopa mwenyewe ukajua ukitia maguu tu anakuanika!! Hahaaa kama nakuona ulivyotetemeka!!
Hahahaaaaa!! Ukitaka akupende wewe kila akiandika upuuzi wake wewe msifie tu. Ukimwambia ukweli ni kosa la jinai.Hahaha
Yaani nyuzi za yule jamaa napitaga kushotooo.... Kutoleana mapovu akuu ndo siwezagi aunt!!!
Kwakweli, ila leo kapatikana watu washamchoka.Hahaha
Mie acha tu nipite kushoto mwaya
Vumilia tu jamaanSasa mambo gani hayo
Sio sisi tu auntie ni wengi tu, sema wengi huwa wanampuuza kama wewe unavyofanya.Kumbe mnamuonaga eeh, nkajua ni mie tuu...
Mvumilieni tu maana hamna namna ingine. .