Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Ijapokuwa nimechelewa ila najua sio sana,kwanza kabisa napenda nimfikishie hongera nyingi sana mama mzaa chema kwa kukuleta duniani siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,pia tumshukuru mwenyezi. Mungu kukuwezesha kufikia umri ulionao sasa, natambua leo ni siku ya muhimu sana kwako.
Mwisho kabisa namuomba Mwenyezi Mungu akubariki na akujalie maisha marefu yenye baraka na mafanikio.
Amen[emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu wewe wahaya ndio wachoyo eenh ngoja wakuje wenye kabila lao
Ni wana kanda ya ziwa wezangu hivyo nawajua vizur sana aisee wachoyo kinoma

Hebu sasa nambie kwanini hujaniita tukate cake au uliogopa kuwa nitakuja fisi
 
Ni wana kanda ya ziwa wezangu hivyo nawajua vizur sana aisee wachoyo kinoma

Hebu sasa nambie kwanini hujaniita tukate cake au uliogopa kuwa nitakuja fisi
Beira baby huwa nakuogopa sana kuna siku ulimpiga mtu mkwara [emoji3][emoji3] mlikua mnatukanana sijui ukamwambia endelea atakipata anachokitaka hivi beira ni story tu kuhusu fisi au ni mambo za kweli
 
Hahahaaaaa usiogope bwana shunie kuwa na aman sema bibi alikuwa mtalamu sana wa hizo mambo
 
Back
Top Bottom