Yaan upunguze msongo wa mawazo sababu ya picha ya bibi kizee shunie sio ndio mawazo yatazidiInaweza kupunguza msongo wa mawazo kuelekea hii njaanuary[emoji1] [emoji1]
hata nyanya ako na yeye alikuwa manzi....nitumie tu kama ukumbusho wa birthday[emoji1] [emoji1]Yaan upunguze msongo wa mawazo sababu ya picha ya bibi kizee shunie sio ndio mawazo yatazidi
AMEN..ASANTE[emoji120]Asante sana Mama angu [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda sana unalijua hilo Mungu wetu azidi kukulinda mama
Amen[emoji120]Ijapokuwa nimechelewa ila najua sio sana,kwanza kabisa napenda nimfikishie hongera nyingi sana mama mzaa chema kwa kukuleta duniani siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,pia tumshukuru mwenyezi. Mungu kukuwezesha kufikia umri ulionao sasa, natambua leo ni siku ya muhimu sana kwako.
Mwisho kabisa namuomba Mwenyezi Mungu akubariki na akujalie maisha marefu yenye baraka na mafanikio.
Hongera sana mama ShunieAsante sana Mama angu [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda sana unalijua hilo Mungu wetu azidi kukulinda mama
Tatizo mkuu pm kwangu haipo ningekutumia tu ili uhangaike nayo ikutishehata nyanya ako na yeye alikuwa manzi....nitumie tu kama ukumbusho wa birthday[emoji1] [emoji1]
Jaman mbona sasa umeniquote mm tenaHongera sana mama Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu wewe wahaya ndio wachoyo eenh ngoja wakuje wenye kabila laoShunie wewe mchoyo kama nini sijui utakuwa mhaya wewe
Yaan hujaniita hata tukate cake licha ya kukuwishi
Yani kichwa hiki kinapata moto, muda wote nakuwaza wewe tu[emoji23] [emoji23]Jaman mbona sasa umeniquote mm tena
Acha bana kunijaza [emoji3][emoji3][emoji3]Yani kichwa hiki kinapata moto, muda wote nakuwaza wewe tu[emoji23] [emoji23]
Kama hauamini basi [emoji23]Acha bana kunijaza [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni wana kanda ya ziwa wezangu hivyo nawajua vizur sana aisee wachoyo kinoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu wewe wahaya ndio wachoyo eenh ngoja wakuje wenye kabila lao
Teh acha nikuamini tu hakuna namnaKama hauamini basi [emoji23]
Beira baby huwa nakuogopa sana kuna siku ulimpiga mtu mkwara [emoji3][emoji3] mlikua mnatukanana sijui ukamwambia endelea atakipata anachokitaka hivi beira ni story tu kuhusu fisi au ni mambo za kweliNi wana kanda ya ziwa wezangu hivyo nawajua vizur sana aisee wachoyo kinoma
Hebu sasa nambie kwanini hujaniita tukate cake au uliogopa kuwa nitakuja fisi
Hahahaaaaa usiogope bwana shunie kuwa na aman sema bibi alikuwa mtalamu sana wa hizo mamboBeira baby huwa nakuogopa sana kuna siku ulimpiga mtu mkwara [emoji3][emoji3] mlikua mnatukanana sijui ukamwambia endelea atakipata anachokitaka hivi beira ni story tu kuhusu fisi au ni mambo za kweli
Na wewe lakini mlikuwa mnaruka wote bibi yupo haiHahahaaaaa usiogope bwana shunie kuwa na aman sema bibi alikuwa mtalamu sana wa hizo mambo
Hapana sijawah kabisa panda fisi au ungoNa wewe lakini mlikuwa mnaruka wote bibi yupo hai
Ooh kumbe zile unaletaga ni story bibi akikwambiaHapana sijawah kabisa panda fisi au ungo
Sisi tulikuwa na mama maana baba yetu alikuwa mtu wa safar sana
Na huyo bibi yetu mchawi yeye alikuwa anaishi huko simiyu wakati sisi tunaish mwanza