Kooooh kOooooh!Ahahahhh lizame umri bana sip hivyo unavyofikiria
Sio kutunga sister ni kweli tupuKheee usije ukatujia usiku [emoji114] ujue mmezidi na story zenu za kutunga jaman
Miss u more. Nami ndio nimeshtuka leo kama nilikosekana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]KK jaman miss u ulikua wapiii nani alikuteka
Usijali Kichwa Kichafu, gift yake Shunie hii hapa ishafika tayariMiss u more. Nami ndio nimeshtuka leo kama nilikosekana humu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimechelewa kuleta gift itapokelewa saiv kwel.
Asante sana mshkaji wangu
Tena nimekununia slim wewe sio wa kunifanyia hivi
Tantee [emoji7]
Asante cuzoo nakutafuta ukuje pm una ninii wewe mbona umepoteaHappy birthday cuzoo wangu wa faida
Jirani yako nimemnunia sio wa kunifanyia hivi wafanye wengine sio yeyeLakini Jirani sio vizuri kuleta keki zilizochacha
Weeee Ili mniite "fala"??¿? [emoji28] [emoji28] [emoji125]Shem wewe sio wa kututenga hivyo??
Hata kalaki ka keki jaman??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nitajitesa kweliMdogo wangu pale ukinuna unajitesa tuu... Si unamjua lakini