dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Santee maka akee [emoji8][emoji8][emoji8]Happy birthday shunie akee
Mungu akupe kila lenye kheri shunie ake, uishi maisha marefu yenye baraka tele ndani yake, mungu afanyie wepesi ndoto zako zitimie.Santee maka akee [emoji8][emoji8][emoji8]
JamaniSakayo wangu [emoji8][emoji8][emoji8] niseme ninii mimi asante jf kwa kunipa rafiki mwema kwangu nakupenda zaidi ya jana na hata milele Yesu wetu azidi kukulinda na kukuweka [emoji120] mbona uzee umeshafika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mkuzi sasa mbona me sina chura
Jamani Shunie hadi jina langu unakosea[emoji47]Asante mwifa Mungu ni mwaminifu sana
Nakuzoooom nione kama kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbichiiii na wakati kibibi gagula
Kachapia kama mim juZ jina lako shida kamandaJamani Shunie hadi jina langu unakosea[emoji47]
Ni simple sana mkuu, huwezi kufananisha na ......Nganengo( nisaidie kujaza jina la mwanzo)Kachapia kama mim juZ jina lako shida kamanda
[emoji3] [emoji3]Ni simple sana mkuu, huwezi kufananisha na ......Nganengo( nisaidie kujaza jina la mwanzo)
Ameen maka [emoji120][emoji8] nakupendaMungu akupe kila lenye kheri shunie ake, uishi maisha marefu yenye baraka tele ndani yake, mungu afanyie wepesi ndoto zako zitimie.
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Atuweke wote dada angu [emoji120][emoji7][emoji8]Jamani
Mungu akuweke tuu mdogo wangu!!!
Ukisikia habari hizo unafurahiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jaman bahati mbaya tuJamani Shunie hadi jina langu unakosea[emoji47]
Kweli muhenga mie nishavuka menopauseNakuzoooom nione kama kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3]
Yote yale yale
Wewe ushakuwa kigagula bana huna haja ya kuwa na hayo mambo, waachie wenye damu za moto wapambane nayo[emoji47]Ukisikia habari hizo unafurahiii