Mkuu watu tunafahamiana humu labda wewe tu asante sanaPale unapomWish Mtu usiyemfahamu
Anyway Hbd Mkuu Shunie [emoji6]
Nimekuhamu pia..Uje uchukue zawadi yakoAsante sana Kaboom akee [emoji8][emoji8][emoji8] nimekuhamu
Asante mkuu
Thank u Team BHbd mrembo wa JF [emoji738][emoji738][emoji738][emoji738] LIVE LONG
Asante sana kisu cha ngaribaHappy Birthday Shunie
Nakutumia pm kwakoWeka hata ka picha basi
Cc shunie
Ahahhaa nakuja hivi nani amekuteka lakiniNimekuhamu pia..Uje uchukue zawadi yako
Teh teh..Wakuniteka mimi duniani hayupo..Nipo mama..Sema nimekuwa msomaji zaidi siku hizi..Ahahhaa nakuja hivi nani amekuteka lakini
Asante sana Mama angu [emoji120] barikiwaHappy birthday shunie, Mungu akupe maisha marefu uwaone wana wa wanao.
Nilitaka kushangaa akuteke naniiii kwahaiyo sasa hivi umeamua kuwa muhenga eenh unasoma tu kimyakimyaTeh teh..Wakuniteka mimi duniani hayupo..Nipo mama..Sema nimekuwa msomaji zaidi siku hizi..
Sawa mkuu asante nakujaMualiko kwa birthday girl, afike KFC hapa ,Mikocheni achukue Mizigo yake
Asante sana kaka akeeHappy birthday kwako Shunie.
Thank uHappy birthday to you Madame