Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Yeah..Nasoma na kwenda Pm..Nimegundua Pm ni kuzuri zaidi teh tehNilitaka kushangaa akuteke naniiii kwahaiyo sasa hivi umeamua kuwa muhenga eenh unasoma tu kimyakimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah..Nasoma na kwenda Pm..Nimegundua Pm ni kuzuri zaidi teh tehNilitaka kushangaa akuteke naniiii kwahaiyo sasa hivi umeamua kuwa muhenga eenh unasoma tu kimyakimya
Ahahah kwahiyo pm huko kuna kaugunduzi umekaonaYeah..Nasoma na kwenda Pm..Nimegundua Pm ni kuzuri zaidi teh teh
Yap yap.Kuna mazuri mengi yamefichwa huko...Keki wapi sasa?Ahahah kwahiyo pm huko kuna kaugunduzi umekaona
Cake ipo ikufate au unaifataYap yap.Kuna mazuri mengi yamefichwa huko...Keki wapi sasa?
Kuna dada mmoja jirani hapa uwa nikiweka iyo nyimbo uwa ananuna balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuliokosa wowowo hiyo nyimbo tukiisikia unatamani ujifiche
Mm mwenyewe mmojawapo nikiisikia hiyo nyimbaKuna dada mmoja jirani hapa uwa nikiweka iyo nyimbo uwa ananuna balaa
Haina noma and enjoy birthday yakoMkuu watu tunafahamiana humu labda wewe tu asante sana
Basi ntaifwataCake ipo ikufate au unaifata
Asante Baba naona uzee unaninyemeleaMama hapi bethdei
Asante sana Mama angu [emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda sana unalijua hilo Mungu wetu azidi kukulinda mamaHeri ya siku yako kubwaaaaaaa Mwanangu Shunie..wewe ni wapekee sana..Nakupenda sana..Mungu akubariki uishi maisha marefu ya kumpendeza na kumtumikia siku zote za maisha yako..you are wonderful made Psalm 139:14-15....my daughter....NAKUPENDA SANA MWANANGU[emoji173] [emoji512] [emoji512] [emoji512] [emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji484] [emoji484] [emoji511] [emoji511] [emoji504] [emoji504] NAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YAKO[emoji120]
Thanks dearHappy birthday shunie...live to the fullest my dada[emoji7]
Ewaaaa usisahau kuja kuifataBasi ntaifwata
Hahaha.. mwehu wewe sasa uzee gani wakati menopause ipo km 1000000.Asante Baba naona uzee unaninyemelea
He he si ndio nimeshafika mwishoHahaha.. mwehu wewe sasa uzee gani wakati menopause ipo km 1000000.
Mzee wa mita 200 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja kuchukua cake yangu ole wako unikimbie