carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Majukumu tu mama,mzima weweNani amekuteka we mtu
Nimekuham pia dadakeMzima Mimi jamani
Nilikuhamu sana ujue
Asante[emoji120][emoji120]Karibu nyumbani jamani!!!
Ukisikia mume kachelewa harusini ndo leoIjapokuwa nimechelewa ila najua sio sana,kwanza kabisa napenda nimfikishie hongera nyingi sana mama mzaa chema kwa kukuleta duniani siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita,pia tumshukuru mwenyezi. Mungu kukuwezesha kufikia umri ulionao sasa, natambua leo ni siku ya muhimu sana kwako.
Mwisho kabisa namuomba Mwenyezi Mungu akubariki na akujalie maisha marefu yenye baraka na mafanikio.
Leo keki itatoka tu, sitaki utani kabisa.Aisee
Yani[emoji23] [emoji23] shida tupu, sijui kwanini mambo kama haya yananipita.Ukisikia mume kachelewa harusini ndo leo
Haya Shem
Nimejiona ndio mm yuleKuna uzi wamepost picha yako njoo ujione best
Auntie asante jaman kwahiyo ulijua mm sijazaliwa eenh cake anayo sakayoAuntie kumbe nawe una besidei!!
Niko hapa na kirungu nasubiri keki.
Heri ya siku ya kuzaliwa mama, Mwenye enzi akujaalie kila lililo jema.