shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,901
Nzuri kabisa, huonekani kabisa mitaa yetuNipo, habari za kupotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri kabisa, huonekani kabisa mitaa yetuNipo, habari za kupotea
Hayo mambo mimi mwezio siwezi kwakweli...Babe veep tena jaman mpo wawili
Chagua mmojaBabe wa kwanza mkubwa we mdogo muulize shululu
Nikaribie mara ngapi shemela ndio nishafika mwishoAsante shemela, sasa unakaribia ukigagura
Hapana wapambane tu na picha zaoSasa inabidi ulete halisi tuache kubashiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana sakayo ukuje umsikie shem wakoHayo mambo mimi mwezio siwezi kwakweli...
Babe jamanChagua mmoja
Basi mimi silijua ulipotea na wale watu wa kibiti mana ndiyo muda tuliyopotezana.Nzuri kabisa, huonekani kabisa mitaa yetu
EnjoyThanks Big
Utanifanya nibugie sumu ya panya wewe mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana sakayo ukuje umsikie shem wako
Habari ndiyo hiyo sasa,kazi kwako.Babe jaman
Karibu, kibiti imepoteza wengi aiseeBasi mimi silijua ulipotea na wale watu wa kibiti mana ndiyo muda tuliyopotezana.
Ni kweli kabisa siku nyingi sana sijapita huko,... ila nitajitahidi nije kusalimia...
Babe unabugiaje sumu kwa mfanoUtanifanya nibugie sumu ya panya wewe mwanamke.
Mmh sakayo ukujeeeHabari ndiyo hiyo sasa,kazi kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo ndio mambo za mjiniWawili pia
Eti mdogo ako linamo yuko ap carba anamuuliziaAbeee