Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Nitakuwish Happy Birthday only kama utaweka picha yake na yako (Sakayo) nichague nani wa kumpenda zaidi kati yenu.
 
Hahaha
Naona unajisahaulisha aunt.... Au nkukumbushe!!!! Kuna mpaka ambao hawanijui wananiita Dume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki chizi wewe, nimecheka!!
Ngoja nimuite aje akuite tena maana naona umemmiss.

Aunty vitu vingine sio vya kurithi ujue!! Maana vya kurithi huwa vinazidi.
 
Aunt haki tumerithi kwako tuuu
 
Back
Top Bottom