Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

daaah japo nimechelewa kuona udugu wangu Mungu akupe maisha marefu love u shunie naja leo kukuletea keki[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] asante udugu wangu nakupenda pia
 
Sio sisi tu auntie ni wengi tu, seka wengi huwa wanampuuza kama wewe unavyofanya.
Me nilishasema nyuzi zake siingii kuna nilicomment tu kawaida kuwa kuwa huh uzi naudharau kuingia kumbe una mambo hivi nikaja kuquotiwa eti nina wivu jaman
 
Back
Top Bottom