Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Nafurahi kusikia hivyo nakupenda mwayaWala hata hujanikwaza kihivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi kusikia hivyo nakupenda mwayaWala hata hujanikwaza kihivyo.
Msg nzuri balaaaaDear Shunie
Today is your birthday!
Thank you for being you today, and every other day. Thanks for making me laugh. Thank you for holding my secrets and for trusting me with yours. Thank you for letting me in on your plans and for helping me with mine.
Nakupenda.
With Love
S....
Asante sana baba wawili wangu [emoji8][emoji8] nakupendaKheri ya kuzaliwa shangazi!!nikutakie maisha marefu yenye furaha na baraka tele!
Hahhaha ebu nenda bwana ujue mm leo ni katotoMie pia naogopa
Sawa tuu. NajuaSisi ni mmoja ujue
Hamu ipotee kabisaaaHahhaha baba paroko hana hamu na wewe
Nilisafiri ba mkweIla mwaliko wa Christmas sijaupata mama mke mbona ulinisahau
Huna ulichonikosea nakupendaAwww!! Much thanks dear, bless u [emoji7][emoji8]
Nakupenda geni wangu
Dah [emoji22] mmejua kuniliza mimi sikutegemea kukutana na haya nawapenda sana yaani sana [emoji8][emoji8][emoji8]
Nyie wadada leo mmejua kuniweza Raynavero Sakayo mzigua90 [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nawapenda
Asante sana Mello kwa kunikunitanisha na nyie kuna mda tunakwazana lakini baade tunakuja kupatana
Kama kuna nilichowakosea naombeni mnisamehe nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Jamani nimejisikia vibaya mmMachungwa tusamehe bure jamanii, ujue tumezoea utani eeh! Usichukie please
Thank youFine
Hahhaha huwezi kufwa bwana ebu kanichukulie tutagawanaAkuuuuu
Mie sijui kukufwa eeehhh
Kawaida yangu ujueUlibyomjibu sasa kwa heshima
Hahhaha kakushindwaHamu ipotee kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unarudi lini kwa baba wewe mwanakondoo umpotevuHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Tanga
Sadaka tuMbona mwanakondoo unataka kuomba nini eti
Mfyuuuuu kujikutaKawaida yangu ujue