Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hamna kitu kinatesa kama usafiri shida unafikilia jinsi ya kurudi tu pole mnoooo
Acha kabisaa...Niko kwa mdingi huku kijijini kungine nawaza tu kurudi....jamani nyie wakaka wa jf hamna mwenye gari anipe lift[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Ila wewe sio muoga jamani utapelekwa ukanyonyeshe kobe ujue kama ulivyokubali safari ya lusungo hivi imeishiaje
 
Wote wana magari we chagua tuu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…