HahahahhahaWe kile kiebrania unadhani nani kaandikaa
Mbona hukutuaga...Bibi wewee...mlikua mnanirusha roho tu hapaii!!!ninyi mlikua mnafarijiana hapa...Mimi hapa sina bebi mnirushe roho kisa...[emoji2][emoji1][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nkaenda kulalaa
Itamfata jamani kijijini kwakeHahaha hahaha
Hebu mtumie Ray cake yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wife material
EeenhWakati ule usiku nilifuta kabisaaa app ya jf
Hahaha hahaha hahahaHapana sio Mimi ni wewe Dada sakayo
Asante sana mpenzi wangu barikiwa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Happy birthday shunie............ishi miaka mingi dear ...mungu akufungulie milango ya kheri na baraka maishani mwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]si ulale sasa jamani
Mfyuuuu sijakubembeleza ile siku mm mtu hunyamazi nikaendelea kujinywea beer zanguHivi ulifika salama kweeli...
Leo ndo nakumbuka aki!
Huyo Shunie hajuagi hataa mtu akilia... Ila yeye akianzaga kunililia nambembeleza
Hahaha hahahaHahaaa....ndo kusema wewe kiyunani hukijui au?!!!![emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji2]
MuulizeLoohhh!!!kununiana kabisaa!!!!
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana mpenzi wangu barikiwa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahhahha nimecheka kwa sauti mm uvumilivu wa nn sasaTuzo ya uvumilivu dada
Pole sana...Niko nanjilinji ya dar acha kabisaa....huko mpk ufikee...balaa
Kwani alikuwepo na yyMbona hukutuaga...
Nikajua hujatuona! Hii dunia jamaniii
Na wewe fika basi namtumbo akutumieAsiguze atume tu keki hapaa!!!i
Usilale bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nalala hapa jamaniii
OooohKwahiyo mm nilivyokuwa nakumbeleza sionekani tena
Mwanzoni nilikubembeleza sana mmOoooh
Ushasema mwenyewe ulinuna... Sasa unataka kunigeuka eehhh
Halafu unasema ulinibembeleza...Hahahhaha acha kabisa mpaka tunaondoka pale hatuongei ujue