Usilie kipenzi... Leo ni siku yako ujue!!Yaan nalia mm sijui machozi ya furaha sijui ya nini jamani sikutegemea kukutana na haya
Hahhaha eti kuna mda nakuwa mkali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka niwe mkali ujue umenikera
Hahahhahah ila weww bwana mshipa wake mtu nikiangalia avatar yako nacheka tu mm hivi kwa nn uliamua hivyo[emoji23][emoji23][emoji23] Kwendaa
Khaaa mm najuaje tenaBila shaka
Ndiwoooo dada wewe ndio kila kituEeehhhh
Ngoja niitoe maana unaongea sana[emoji1][emoji1][emoji1]Hahahhahah ila weww bwana mshipa wake mtu nikiangalia avatar yako nacheka tu mm hivi kwa nn uliamua hivyo
Nimeamka salama kabisaaa dada!Marhaba mdogo wangu umeamkaje
UsalimieNifanyaje
Mshipa wake mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha hahaha
Mshipa wa nani etii
Kasema unajua anachomaanishaaHahhahahhahah ebu niulizie nimefanyaje
Hahhaha ndio amejua sasabasii sawaaa alikua hajui
Hahhaha sio wa naniiiiHahaha mshipa wangu
Nimeamka salama kabisaaa dada!
Vipi wewe huko duniani hawajambo
MmmhHapana mwenyewe sijui
Hahaha hahaha hahahaHahaha mshipa wangu
I know babe but kwa haya machozi yanatoka yenyewe tuUsilie kipenzi... Leo ni siku yako ujue!!
Ndiwooo, ukiniamulia huwa nakoma kabisaaa!! Hiyo imenisaidia saivi niko na roho ya mjomba
SawaNdiwoooo dada wewe ndio kila kitu
Hahahhahhaha simuoni ujue yaani nimempa angalizo na ameleftHahaha hahaha
Hakuna kuleft bwana