Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Yaan nalia mm sijui machozi ya furaha sijui ya nini jamani sikutegemea kukutana na haya

Hahhaha eti kuna mda nakuwa mkali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka niwe mkali ujue umenikera
Usilie kipenzi... Leo ni siku yako ujue!!

Ndiwooo, ukiniamulia huwa nakoma kabisaaa!! Hiyo imenisaidia saivi niko na roho ya mjomba
 
Usilie kipenzi... Leo ni siku yako ujue!!

Ndiwooo, ukiniamulia huwa nakoma kabisaaa!! Hiyo imenisaidia saivi niko na roho ya mjomba
I know babe but kwa haya machozi yanatoka yenyewe tu

Hahhahahah eti nimekufanya umekuwa na roho ya mjomba
 
Back
Top Bottom