Asante sana mama mchungaji ni kweli kabisa uyasemayo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] zidi kubarikiwa [emoji120][emoji120] nakupenda mmHata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energy
Hata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energy
Hahahaaaa...binamu wewe ndo umetufundisha maneno ya busaraTeh kama naliona hilo kanisa letu.
Nimeshangaa huu uzi kinge kama chote lol. But I know that feeling, raha sana when you are a good friend na rafiki zako wakaaprreciate hilo.
DaaahHahaaaahaaa...binamu si unajua Heineken lazima kizunguu!!
Anafunga huyuu asikuambie mtu na halewi mpk amalize funga that day ananiambia anafunga ten days...binamu nilifurahi mnoo!hapo mapenzi yakaongezeka!!anaenda church huyu Dada...acha!!usimuambie unaumwa sasa...utajuta kila mda msg!!Binamu shunie wa jf sio huyu halisi!nakuambia Mimi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Binaa haya maneno wewe ndo umenifundisha ujue!!!Mimi sikua hvyo uwepo wako umenifanya niwe na maneno ya busara[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]Awwwwwww!!!!
I think it's me
[emoji28][emoji28][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]ngoja nikimbie hapa!!!usijenimeza bureee!!!Daaah
Anakuchukuliaje?kwani...!!asiniharibie mood!!!I think it's me
Hallelujah Mama mchungaji azidi kudumu jamani cc Heaven SentBinaa haya maneno wewe ndo umenifundisha ujue!!!Mimi sikua hvyo uwepo wako umenifanya niwe na maneno ya busara[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah sio kukumeza naweza kukulilia[emoji28][emoji28][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]ngoja nikimbie hapa!!!usijenimeza bureee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan kaona thread inamuhusu flani na huyo flanii yupoooo halafu anakuja kuuliza tena[emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]Anakuchukiaje?kwani...!!asiniharibie mood!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lia nakuacha kwenye mataaaa yuleee!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!!!Hahahah sio kukumeza naweza kukulilia
AmeeennnHallelujah Mama mchungaji azidi kudumu jamani cc Heaven Sent
Hahhahahhahah nimemkumbuka Sakayo ghafla unavyoniambia mda wa kubembelezana hauna nimecheka vibaya sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]tafadhali usilie muda wa kubembeleza sina mie ujue!!!Lia nakuacha kwenye mataaaa yuleee!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anauliza kishabiki zaidi!!as if mmekusifia sanaa...si unajua jf!!watu wanajudge mtu kwa maandishiYaan kaona thread inamuhusu flani na huyo flanii yupoooo halafu anakuja kuuliza tena
[emoji1][emoji1][emoji1]ulimtelekeza Dada wa watu kwenye mataaa loh!!!ukalala zako habari hupatii!mdada wewe hufaiiiHahhahahhahah nimemkumbuka Sakayo ghafla unavyoniambia mda wa kubembelezana hauna nimecheka vibaya sana
Najua sana yaani anajifanya kama haoni vileeAnauliza kishabiki zaidi!!as if mmekusifia sanaa...si unajua jf!!watu wanajudge mtu kwa maandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha nakwambia hajalala ile siku na alfajir anatakiwa aondoke nimejigeukia upande wa pili nimelala mie na mshkaki wake mmoja nikala mana nakumbuka hata chakula hajala mapenzi mapenzi jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]ulimtelekeza Dada wa watu kwenye mataaa loh!!!ukalala zako habari hupatii!mdada wewe hufaiii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]shunie Mungu anakuonaa...loohh!ukaupiga usingizi kama wotee!!Hahhaha nakwambia hajalala ile siku na alfajir anatakiwa aondoke nimejigeukia upande wa pili nimelala mie na mshkaki wake mmoja nikala mana nakumbuka hata chakula hajala mapenzi mapenzi jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shikamoo mapenzi sasa akikumbuka anajichekea tu anajiuliza hivi yulee nilikua mm kweli
Warereeeeee Mama Mchungaji in the making .Hahaaaahaaa...binamu si unajua Heineken lazima kizunguu!!
Anafunga huyuu asikuambie mtu na halewi mpk amalize funga that day ananiambia anafunga ten days...binamu nilifurahi mnoo!hapo mapenzi yakaongezeka!!anaenda church huyu Dada...acha!!usimuambie unaumwa sasa...utajuta kila mda msg!!Binamu shunie wa jf sio huyu halisi!nakuambia Mimi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app