Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Hata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energy
Asante sana mama mchungaji ni kweli kabisa uyasemayo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] zidi kubarikiwa [emoji120][emoji120] nakupenda mm
 
Exactly!!!
Hata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaahaaa...binamu si unajua Heineken lazima kizunguu!!

Anafunga huyuu asikuambie mtu na halewi mpk amalize funga that day ananiambia anafunga ten days...binamu nilifurahi mnoo!hapo mapenzi yakaongezeka!!anaenda church huyu Dada...acha!!usimuambie unaumwa sasa...utajuta kila mda msg!!Binamu shunie wa jf sio huyu halisi!nakuambia Mimi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]tafadhali usilie muda wa kubembeleza sina mie ujue!!!Lia nakuacha kwenye mataaaa yuleee!![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahhahah nimemkumbuka Sakayo ghafla unavyoniambia mda wa kubembelezana hauna nimecheka vibaya sana
 
[emoji1][emoji1][emoji1]ulimtelekeza Dada wa watu kwenye mataaa loh!!!ukalala zako habari hupatii!mdada wewe hufaiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha nakwambia hajalala ile siku na alfajir anatakiwa aondoke nimejigeukia upande wa pili nimelala mie na mshkaki wake mmoja nikala mana nakumbuka hata chakula hajala mapenzi mapenzi jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shikamoo mapenzi sasa akikumbuka anajichekea tu anajiuliza hivi yulee nilikua mm kweli
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]shunie Mungu anakuonaa...loohh!ukaupiga usingizi kama wotee!!

Mapenzi nomaa kabisaa!![emoji1][emoji1][emoji11]huyo unaemuwaziq mwenzio kalala miguu juu habari hapati!!!

Ila inauma asikuambie mtu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaahaaa...binamu si unajua Heineken lazima kizunguu!!

Anafunga huyuu asikuambie mtu na halewi mpk amalize funga that day ananiambia anafunga ten days...binamu nilifurahi mnoo!hapo mapenzi yakaongezeka!!anaenda church huyu Dada...acha!!usimuambie unaumwa sasa...utajuta kila mda msg!!Binamu shunie wa jf sio huyu halisi!nakuambia Mimi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Warereeeeee Mama Mchungaji in the making .

Binamu hata usiongee. Najua fika that maisha ya kiroho ya mtu ni too personal, ni mtu binafsi ndo anayejua nini anafanya na Mungu wake behind his/her closed doors. Watu wa nje tunajudge vinavyoonekana kwa nje (especially mabaya), ila ni Mungu tu ndo anayejua ya sirini kwa mtu. So siku nikimuona shunie madhabahuni wala sitoshangaa, maana sijui Mungu ana kusudi gani naye na kwa wakati gani

Btw upunguze kujificha khaaa
 
Back
Top Bottom