Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asante sana mama mchungaji ni kweli kabisa uyasemayo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] zidi kubarikiwa [emoji120][emoji120] nakupenda mmHata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energy