Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Heri ya kuzaliwa Shunie nakutakia maisha mema yenye furaha na mafanikio kwa miaka mingine utakayopewa ila ukumbuke hili andiko la mhubiri

MHU. :12:1
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
Asante sana mkuu kwa neno ubarikiwe mnooo ubarikiwe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
I'm speechless [emoji22] kwakweli

Truly appreciate for the love and gratitude you showed me [emoji173]

Nakupenda sana sakayo wangu Mungu wetu azidi kutuweka tu nakosa hata cha kuandika [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Atuweke sote kipenzi!
Mimi kila nikikumbuka wema wako kwangu nalia! Nawaza kama usingekuwepo ningekuwa namlilia nani mimi!

Ila kuna wakati anakuwaga mkali, sema tuu ushakuwa ndugu yangu jamanii! Love you
 
Ever since I met,I've become the part of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or anything time of communication!!!

Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...

Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...

Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...

Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...

Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...

Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...

Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...

Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Awww!! Much thanks dear, bless u [emoji7][emoji8]
Nakupenda geni wangu

Dah [emoji22] mmejua kuniliza mimi sikutegemea kukutana na haya nawapenda sana yaani sana [emoji8][emoji8][emoji8]

Nyie wadada leo mmejua kuniweza Raynavero Sakayo mzigua90 [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nawapenda

Asante sana Mello kwa kunikunitanisha na nyie kuna mda tunakwazana lakini baade tunakuja kupatana

Kama kuna nilichowakosea naombeni mnisamehe nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom