Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

I know babe but kwa haya machozi yanatoka yenyewe tu

Hahhahahah eti nimekufanya umekuwa na roho ya mjomba
Hayo ni machozi ya furaha...
Mungu ni mwema sana Shunie, kwenye maisha kuwa tayari kukutana na watu tofauti kama Sakayo huku!
 
Ni tarehe kama ya leo, siku nyingine tena na mwaka mwingine ulizaliwa mrembo wa kipekee kwenye familia!

Nichukue tuu kamuda haka kukupongeza mno kwa kuusogelea uzee na kuyakimbilia mafanikio yako my dear!

Sijui niandike nini maana kila nalotaka kuandika nafuta! NAKUPENDA Shunie! Jua hilo kwenye moyo wako!

I am so lucky to have blessed with a friend and a wonderful as you, on your birthday I just want to thank God for sending you into this world you're seriously a blessings in disguise....

Not everyone is as lucky as me to be blessed with a friend like you. Thank you so much for for coming into my life and standing by my side. I wish you get all that you truly deserve my dear lil sister!
View attachment 978407

On your special day take a moment off to thank the Almighty Lord for everything that you have today babe girl, and my God give you everything that you desire, with blessings of Almighty, may you reach higher and higher!!!!!!

View attachment 978408

HAPPY BIRTHDAY PRINCESS SHUNIE!!!!!!!

HB Shunie mi nawaonea wivu na huo u best friend wenu.
 
Back
Top Bottom