Weeeeh umemsahau anko wako wa ukweli? Yule ndio anabeba tuzo za ma-anko zako wote. Halafu shammiss tayari[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ila kiukweli anakupenda sana!!
Sijaona mwanaume anakubebisha bila aibu mbele za watu!!
Acha fujo mkwe...Kumbe upo!! Habari za wolidi kapu?
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mpaka raha jamani msalimie na mama yakeBaby hajambo sana, na yeye kaiona xmass, lol
Sijaenda mimi🤣🤣🤣Shemeji!!
Hukwenda kushika namba
Eeeenh wakina nani haoNyie vitombiii, wale wenzenu majanga[emoji134][emoji134][emoji134]
Bora abakie TA.
Hahaha, dah! Hutupendi kweli yani.Haahahaha
Nasikia kuko na homa ya ini jamani
Niogoha watu wa Tanga imi
Mkwe leo mbona kama umeamka na upako wa kizaramo...[emoji23][emoji23][emoji23]
We mfurugano uloleta unafikiri mdogo? Binti yangu anacheka cheka tu najua kavuta bangi kumbe kazi imekushinda[emoji134][emoji134][emoji134]
Walikufanya nini? Au ndio wale wale?Niogoha watu wa Tanga imi